Sababu za ugonjwa wa Mkanda wa jeshi

OCC Doctors

Senior Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
113
Reaction score
172
Mkanda wa jeshi (shingles) husababishwa na Virusi aina ya (Varicella zoster) vinavyoambukizwa kwa kuvuta pumzi, pamoja na matone ya upumuaji.

Kirusi hiki kinasababisha magonjwa mawili ikiwemo tetekuwanga (chicken pox) wakati wa utoto, ambayo husababishwa na (Varicella).
Ugonjwa mwingine ni Mkanda wa jeshi (shingles) husababishwa na (Zoster) ni uanzishaji upya wa tetekuwanga wakati wa utu uzima hasa katika hali ya upungufu wa kinga au kuzeeka.

 
Upungufu wa kinga sawa
Ila uzee tena?
Naona vijana wadogo wanapata mbona Dr?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…