Sababu za waimbaji wengi kufilisika Duniani kulipa watu ovyo

Vitu vingine vinachekesha kwakweli Harmonize net worth according to source mbalimbali ni Dollar 2 million..lakini milioni 500 ambazo ni sawa na dollar zisizozidi 300k zimemtoa jasho..hizi drama hizi

networth sio pesa
 
kwa wasanii wa bongo sijaona mwenye mjengo wa maana wote wana mapagale tu.
Mkuu hata kama ni dis sio hivyo, wapo kina NavyKenzo, Masanja na wengine. Sema hawana show off za nyumba zao. Au wewe ulitaka wawe na Mijengo ya namna gani!!
 
jaluo jr

Vitu vingine vinachekesha kwakweli Harmonize net worth according to source mbalimbali ni Dollar 2 million..lakini milioni 500 ambazo ni sawa na dollar zisizozidi 300k zimemtoa jasho..hizi drama hizi
Net worth hua ina include both liquid cash na fixed assets sasa yaweza kuta hizo fixed assets ndo zimefikia USD 2 Mil ila liquid cash ni Tshs 120,000,000
 
Mkuu hata kama ni dis sio hivyo, wapo kina NavyKenzo, Masanja na wengine. Sema hawana show off za nyumba zao. Au wewe ulitaka wawe na Mijengo ya namna gani!!
Nazungumzia level za wasanii,kina navy kenzo kiwanja chao hata sqm 600 hakifiki,ukija cha diamond cha madale ndio vile vile tu hakizidi hata sqm 900,msanii inatakiwa uwe hamna hamna kiwanja ekari nne,wawekeze kwenye mijengo mtu akipita akiona mjengo lazima ajiulize mjengo wa nani ule,ila mijengo ya wasanii wa bongo wote ni ya kawaida hata ney wa mitego mjengo wake wa chini ni wa kawaida sana,wasanii nawashauri wawe na maeneo makubwa,wengi wamejenga kwenye viwanja medium au high density tena skwata,wachache sana kama kina joti,mpoki,masanja wamejenga vya kupimwa(Tena walipewa na manji,vingine walikopeshwa na NHC) lakini wasanii wengine wote wamejenga kwenye skwata tena viwanja vidogo vidogo tu havizidi sqm 900.
 
Mkuu msanii ni mtu anafanya hustle kama wewe ,yeye kajiongeza kawa msanii,wewe pia unaweza kujiongeza ukabuni na kufanya vitu vingine kama biashara na mengineyo ili upate hela ujenge mansions na hekari nyingine unazozungumzia,unapomfananisha na 50 cent we pia jifananishe na waliokuzidi ambao wanafanya hustle kama zako na ujiulize unakwama wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
We inaonekana mbeya Sana,una fikra za kitumwa kichwani kwako!!unawapangia wenzako jinsi ya kujenga je ww umejenga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa bwanaaa 😤
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…