Hilo ni jambo la kiutekelezaji zaidi kuliko kulifanya kuwa Sheria...Jaribu kufikiria tu kuwa endapo likaingizwa katika Rasimu na baadaye katika Katiba, itakuwaje pale itapotokea ulazima wa kuhamisha tena makao makuu ya nchi toka huko Dodoma na kwenda kwingineko?
hivi ikijengwa hata hewani itamsaidia nini mtu kama slaa mpenda starehe kufanya kazi kwa umakini?
"Ikulu ni mzigo ukimuona mtu anakimbilia ikulu muogope kama ukoma"-jkn
Ndugu yangu my web hamna tabia mbaya kama wizi nakushauri uache tabia hiyo ya kukwapua simu kwani mwisho wake ni mmbayahivi ikijengwa hata hewani itamsaidia nini mtu kama slaa mpenda starehe kufanya kazi kwa umakini?
hivi ikijengwa hata hewani itamsaidia nini mtu kama slaa mpenda starehe kufanya kazi kwa umakini?