1- wanajua kwenda na wakati. Hili jambo ni nadra sana wadada walioolewa kwani wengi wao hujisahau sana.
2-wanajua mapenzi. vimada wengi wanajuwa sana mapenz wawapo kitandani ni wa2ndu sana.
3-wanajua sana kudekeza na kuwajali wapenz wao.
4-wanavutia na wamekaa kinyegenyege.
5-wanatoa stress unazopatapa nyumbani.
Hizo ni baadhi tu, kama zipo za ziada ziweke hapa.
My take:- mke wa mtu sumu.
sina kawaida ya kugonga thanx nimefanya hv kwako. Nilitaka kuanzisha thread km hii. Nitachangia kesho via PC. Via Mobile bado yanizingua
Nadhani wanaume ndo wenye jibu la hilo swali!Wao sindo waoona bwana!Ha ha ha, lizzy iko kipengele cha nne waonaje?
haya bwana!!!:hand:
Si unajua tena mchezaji anapotaka kuitwa timu ya taifa juhudi anazoinyesha ni balaa. Sasa subiri apate number ya kudumu, utaomba ardhi ipasuke. Wanawake nao hivyohivyo kabla hujamuoa juhudi nyingiii ukioa tu bwana weee...
sina kawaida ya kugonga thanx nimefanya hv kwako. Nilitaka kuanzisha thread km hii. Nitachangia kesho via PC. Via Mobile bado yanizingua