Sababu za Wanaume wengi kuwa WAPO WAPO KWANZA...

Dahh!!!!!!!!!!!! kazi kweli kweli, kwa mchanganuo huo naona vijana wengi watarudisha majeshi ya mipango yao ya harusi.
 


Usijidandanye kufikiri kuwa ngombe hushindwa na nundu yake. Labda nikupe busara za waheng.
-Mungu akikupa kilema hukupa na mwendo.
-Ngombe aangukavyo ndivyo achinjwavyo
-Usimuige tembo kunya boga utachanika msamba.
-Kuchanika kwa pakacha nafuu ya mchukuzi.
-Uzuri ni kudhurika, na busara nyengine tele


Hata hivyo hata ndowa ya mkeka nayo ni ndowa,ya nini gharama zote hizo?
 
Hizi gharama alaf wenzio wanakumegea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…