Sababu za Yanga kupoteza mechi

Sababu za Yanga kupoteza mechi

2kimo

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2014
Posts
2,029
Reaction score
2,072
Yanga itaendelea kufanya vibaya hadi itakapomtimua au kumwambia mmoja wa viongozi wake awaombe radhi wana Dar Es Salaam na hususani Wazaramo. Kiongozi huyo muandamizi wa klabu hii ya Jangwani ambaye inawezekana haelewi vema historia ya uundwaji wa team, amedirika kuwakashfu wana Mzizima waliojichangisha vijisenti vyao na kuijenga team kubwa katika ukanda huu wa Africa Mashariki na Kati.
Laana ya jasho la wazee wa mzizima litaiandama klabu kwa kuwa haikuchukua hatua dhidi ya yule aliyewavua nguo waanzilishi wa klabu.

Hapa kuna uwezekano kwamba mkizidi kuchelewa kuchukua hatua laana za wana mzizima zinaweza kuwashukia na kuwaletea madhara hata ya kupigwa mkono na watani wa jadi.
 
Mzee wewe unaweza tusaidia kutuambia kwanini taifa stars inafungwa fungwa?
 
Kushabikia mpira kibongo inabudi uwe pia mchambuzi wa Siasa kiasi kikubwa.
 
Yanga itaendelea kufanya vibaya hadi itakapomtimua au kumwambia mmoja wa viongozi wake awaombe radhi wana Dar Es Salaam na hususani Wazaramo. Kiongozi huyo muandamizi wa klabu hii ya Jangwani ambaye inawezekana haelewi vema historia ya uundwaji wa team, amedirika kuwakashfu wana Mzizima waliojichangisha vijisenti vyao na kuijenga team kubwa katika ukanda huu wa Africa Mashariki na Kati.
Laana ya jasho la wazee wa mzizima litaiandama klabu kwa kuwa haikuchukua hatua dhidi ya yule aliyewavua nguo waanzilishi wa klabu.

Hapa kuna uwezekano kwamba mkizidi kuchelewa kuchukua hatua laana za wana mzizima zinaweza kuwashukia na kuwaletea madhara hata ya kupigwa mkono na watani wa jadi.

Sababu kubwa ni kiwango. Hayo mengine ni by the way tu!
 
Ajabu ya baadhi ya wachangiaji wamejitambulisha, hawashabikii soka la bongo, ila inaonyesha ni wafuatiaji wazuri wa habaari za soka la bongo. Hii ni ajabu ya Ulimwengu kwa walimwengu.
 
Stupid reason. Go to hell mleta post.
Yes ni stupid reason!
We ulidhani ktk jf unaweza kupata reasons za Yanga kufungwa!
Huna haja ya kuwa serious, there are times when people make jokes na hii ni moja ya hizo moments!
Sio kila wakati unaabudu ugomvi!
Kuna time na kuna posts unatakiwa uziache zipite! Namna hii si unaweza ukachizika!
 
Yanga itaendelea kufanya vibaya hadi itakapomtimua au kumwambia mmoja wa viongozi wake awaombe radhi wana Dar Es Salaam na hususani Wazaramo. Kiongozi huyo muandamizi wa klabu hii ya Jangwani ambaye inawezekana haelewi vema historia ya uundwaji wa team, amedirika kuwakashfu wana Mzizima waliojichangisha vijisenti vyao na kuijenga team kubwa katika ukanda huu wa Africa Mashariki na Kati.
Laana ya jasho la wazee wa mzizima litaiandama klabu kwa kuwa haikuchukua hatua dhidi ya yule aliyewavua nguo waanzilishi wa klabu.

Hapa kuna uwezekano kwamba mkizidi kuchelewa kuchukua hatua laana za wana mzizima zinaweza kuwashukia na kuwaletea madhara hata ya kupigwa mkono na watani wa jadi.

Safari hii yanga anapigwa 6.

Wakati utasema.
 
Back
Top Bottom