Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilidhani ni mimi tu ndio naliona hili tangazo linavyotufedhehesha waafrika,Nimejiuliza hivi hawa waliotengeneza hili tangazo kama hawakuliona ili au walifanya makusudi kututukana....Naomba usikilize tangazo lao linavyotuzalilisha waafrica, linaonesha kuwa wakati dunia nzima inahangaika kushughurikia mambo ya muhimu Africa tuna-party na coca cola. Lile tangazo huwa nakasirika sana sijui kwa nini hawali ban wanaohusika.
Huajua utamu wa coca cola barrrriiiidddiiii, na sahani ya wali kuku!! Weeeee wacha ... Kwani linaudhi kuliko yale ya kondom? Na always! Tuko wangapi " bora lile hamia airtel"
kunyamaza nako ni jibu kama aujawai kuliona wa kulisikia unapata wapi ujasiri wa kutetea usilolijua.uafrika KAZIIIISijaona relationship kati ya tangazo na kinywaji. Mi hilo tangazo ata silijui!
lile la tuko wangapi ndo linanikera balaa....linafundisha nn??