lile la tuko wangapi ndo linanikera balaa....linafundisha nn??
Ni ukweli unaouma,huoni hata marais wa Afrika wanavyozurula kila siku kwa watu.
Naomba usikilize tangazo lao linavyotuzalilisha waafrica, linaonesha kuwa wakati dunia nzima inahangaika kushughurikia mambo ya muhimu Africa tuna-party na coca cola. Lile tangazo huwa nakasirika sana sijui kwa nini hawali ban wanaohusika.
Sijaona relationship kati ya tangazo na kinywaji. Mi hilo tangazo ata silijui!
Vipi umeacha coca-cola tu au products zote za coca-cola?
lile la tuko wangapi ndo linanikera balaa....linafundisha nn??
Kweli asee mie kwa siku napiga si chini ya coke 4 nimejaribu kunywa juic ili niache coke bt nimeshindwa,hata nikinywa juice kiu ya coke iko palepale!
Sasa utaishi kwa kukimbia kimvuli chako mpaka lini? Naomba uniambie ambacho si cha kweli ndio tuanze kujadili. Mimi nitakwenda kwa mifano:
Unaposema LINATUZALILISHA badala ya LINATUDHALILISHA na KUSHUGHURIKIA badala ya KUSHUGHULIKIA tayari inatosha kuonesha jinsi ambavyo hatupo makini na mambo ya msingi.
Kama waziri anaweza kusema Tanzania ni muungano wa visiwa vya Zimbabwe..........., na zomba akadiriki kusema Zanzibar ilikuwa mtawala wa Oman, na bado mtaani kwao wakamchagua kuwa balozi wa nyumba kumi tuna la kukataa?
Cokakola na majuisi ya azam ni kichocheo kikubwa cha kisukari miongoni mwa jamii yetu![/QUOTE
Wewe ndo ume comment kisomi kabisa hao wengine wazushi tu. Nitakugongea like baadae.
Naomba usikilize tangazo lao linavyotuzalilisha waafrica, linaonesha kuwa wakati dunia nzima inahangaika kushughurikia mambo ya muhimu Africa tuna-party na coca cola. Lile tangazo huwa nakasirika sana sijui kwa nini hawali ban wanaohusika.
Sasa utaishi kwa kukimbia kimvuli chako mpaka lini? Naomba uniambie ambacho si cha kweli ndio tuanze kujadili. Mimi nitakwenda kwa mifano:
Unaposema LINATUZALILISHA badala ya LINATUDHALILISHA na KUSHUGHURIKIA badala ya KUSHUGHULIKIA tayari inatosha kuonesha jinsi ambavyo hatupo makini na mambo ya msingi.
Kama waziri anaweza kusema Tanzania ni muungano wa visiwa vya Zimbabwe..........., na zomba akadiriki kusema Zanzibar ilikuwa mtawala wa Oman, na bado mtaani kwao wakamchagua kuwa balozi wa nyumba kumi tuna la kukataa?
Tena na data zote nikakumwagia. Kuwa Oma ilitawaliwa na Zanzibar na si Oman tu, hii Tanganyika yote, mpaka rwanda urundi na Congo, mpaka Zimbabwe na Afrika Kusini na kuelekea Kaskazini huko mpaka Somalia, Habashi licha ya Kenya na Uganda. Hiyo ndio Zenj.
Kasome, wewe ni wale wale mliojazwa Ubaguzi wa Ujinga, hujui hata ya kuwa Afrika inatokana na jina Afrit. Masikini ya watu leo nikikuuliza hat Dar Es Salaam inamaanisha nini na hilo jina linatoka wapi utaanza kuhaha, seuse ya Arusha.
Nna uhakika hata ulipotokea hupajui, uliambiwa tu, hujakosea, Mwana Mtoka Pabaya wee!
chukua soda ya coca ,chukua na mfupa wowote mimina coca kwenye chombo kama bakuli tumbikiza ule mfupa kwenye kile kimiminika subiri dk chache utaona ule mfupa unakuwa unga .jaribio la pili battery ya gari zile terminal zina tabia ya kuweka carbon ukitokewa na hali hiyo mara nyingi battery haiwashi tena gari ,chukua coca mimina juu ya zile terminal inatoa uchafu wote hakuna haja ya kupiga msasa .washa gari .