smarte_r
JF-Expert Member
- Nov 8, 2013
- 4,564
- 12,014
awali ya yote naomba mlio karibu na "gavana" mfikishieni ujumbe kuwa hiyo kanzidata(database) yake anayofiikiria kuijenga ambayo itatumika kuhifadhi taarifa za wanandoa haitakuja kusaidia kitu.
kwangu yatakuwa ni matumizi mabaya ya fedha za umma au za wahisani. labda atumie fedha yake binafsi.
siku chache zilizopita nilitoka out na mtoto mmoja mrembo sana ambaye ni mfanyakazi wa benki moja maarufu hapa nchini. tulikuwa tumejificha lodge moja matata hivi kaskazini mashariki mwa jiji la dar.
licha ya siku zote kumkumbusha kuwa mimi ni mume wa mtu, haonyeshi hofu na hajisumbui kutaka kujua undani wa ndoa yangu. anachojali ni urafiki wetu tu na mahaba tunayopeana.
jambo la kufurahisha ni kwamba mara nyingi huwa ananiambia sisi waume za watu tupo so humble, appealing na tunajua sana kuwa-treat wanawake kuliko vijana wa kiume ambao hawajaoa. hapa palinishtua kidogo ila nilipotezea maana nilijua dhahiri shairi sipo peke yangu. halafu huwa sipendi kuichosha akili yangu kumfatilia mwanamke wa nje ambaye huwa nachepuka naye siku moja moja.
ila nilicho observe kwenye maongezi yake kwa ku refer ile kauli ya "gavana", ni kwamba wanawake ambao hawajaolewa huwa wanatupenda wao wenyewe sisi wanaume ambao tayari tupo ndani ya ndoa. na sababu kubwa wanayotupenda ni yale mahaba mazito tunayowapa.
kwa hali hii, hiyo database itakuwa ni useless au wewe unaonaje?.