Sababu zinazochangia usugu wa vimelea dhidi ya dawa

Sababu zinazochangia usugu wa vimelea dhidi ya dawa

Hakuna anayejali

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2023
Posts
418
Reaction score
526
- Msongo wa mawazo
Hapa inakuwa hivi unapoenda hospitali mhudumu anakuandikia dawa kimakosa yatokanayo na msongo wa mawazo, mf badala ya kuandika 2*3 anaandika 1*2.

Ni vema wahudumu wasahau misongo yao ya mawazo mara tu wanapokanyaga hospitali na kuwe na mtalam saikolojia kuwahudumia watu kama hawa kuepusha usugu wa vimelea dhidi ya dawa.

- Pili watu wa maduka ya dawa wanachangia kwakuwa hawaweki utaratibu wa kutotoa dawa bila maelezo ya daktari.
Wao wanasikiliza mteja anataka dawa gani wanampa. Sambamba na hili wauza duka la dawa wanajifanya madaktari.

mamlaka za usimamizi ziongeze umakini wa usimamizi na kukataa rushwa.

- Mwisho ni maelezo hafifu ya namna ya utumiaji wa dawa toka kwa watowa huduma.

Watowa huduma wawe makini na maelezo ya utumiaji dawa.
 
Back
Top Bottom