Sababu zinazofanya utoe udenda wakati umelala

Sababu zinazofanya utoe udenda wakati umelala

AFYACHAP

New Member
Joined
Aug 16, 2024
Posts
1
Reaction score
0
Mara moja moja ukiamka asubuhi utakuta vialama vya udenda..(Kidogo)

Hii ni kawaida..

Ikitokea ukilala unatoa udenda mwingi kupita kiasi huenda shida ikawa ni:-

-Unazalisha mate mengi hasa wakati wa usiku

-Upande unaolalia (Mara nyingi ukilalia upande wa kusho au kulia)

-Misuli ya mdomo imelegea, hasa kwa watoto wadogo

-Valve kati ya koo la chakula na tumbo haifungi vizuri

-Unapumulia mdomo (Hasa kama una nyama puani au una aleji)

Au labda unatumia dawa za magonjwa ya akili kama Clonazepam nk.

main-qimg-9988b96de26c60f2744a661ae47739b3

Kupunguza hali fanya hivi:-

-Lalia mgongo

-Kunywa maji ya kutosha mchana walau lita 2 kwa siku

-Cheki na Daktari wa Kinywa akucheki kama una ugonjwa wa kuzalisha Asidi nyingi nk.

Mara nyingi hali hii huisha yenyewe..hasa kwa watoto kadri wanavyokua.
 
Back
Top Bottom