LGE2024 Sababu zinazopeleka watu kutokujiandisha

LGE2024 Sababu zinazopeleka watu kutokujiandisha

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Royal Son

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2016
Posts
909
Reaction score
1,717
Habari

Ninacho hisi watu wengi kutokujiandikisha kwenye Chaguzi za Serekali za Mitaa pamoja na kutumika hamasa nyingi
Watu wengi walikuwa wanajiandikisha ili wapate Kadi ya kupiga kura iwe kama kitambulisho chake siku hizi tuna Kadi za NIDA

Cha pili Wenyeviti wa Mtaa/Kijiji wamekuwa kama Wazee wa Ukoo yaani ni walewale kila siku
Cha tatu hivyo vyeo vimekuwa kama ni vya Wazee tuu Vijana hatupewi hizo nafasi
 
Back
Top Bottom