JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Ukeketaji umejikita kwenye kanuni na taratibu za kijamii, imani za kiutamaduni na vichocheo vya kiuchumi.
Ukeketaji unaonekana kutumika kama njia ya kudhibiti ashki ya kujamiiana kwa wanawake, na katika jamii nyingi, inachukuliwa kama jambo la muhimu katika shughuli za
jando na unyago.
Simulizi potofu kuhusu ukeketaji zimekuwa zikirudiwa mara nyingi kiasi cha kusadikiwa kuwa ni kweli.
Upvote
0