Sababu zinazowafanya wanawake wachepuke kwenye mahusiano

On my way to Umea Sweden!!
 
Kumbuka sababu za mwanamke kuchepuka ni nyingi na hakuna namna wewe kama mwanaume unaweza kufanya ili kumzuia mkeo asichepuke. Haijalishi wewe mwanaume ninani na una nini. Mkeo akiamua kuchepuka atachepuka tu, huwezi kumzuia.


Nimekuwa na mke wa MTU si nikanogewa..nikaanza kuona wivu.. I was very stupid kumuonea wivu mke wa watu...nilichanganikiwa kwake Kwa sababu ya Ile kutoa mkojo mwingiiiiiii...yaani ukinimwagukia ...nusra niazime Kwa Raha..na yeye anaona Raha ya kufa mtu
 
Mungu mkubwa sana.....wanawake ni wengi mno.....hakuna haja ya kuishi kwa hofu wakati umemchagua mwenyewe na ukamleta home....PIGA CHINI

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Mtu yeyote aliyewahi kufanya mapenzi kabla ya ndoa anaasilimia kubwa za kuchepuka ...na hakunaga ujanja hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…