ALEX_ANDER
JF-Expert Member
- Jul 8, 2014
- 570
- 816
Habari zenu wana JF?
Tumshukuru Mungu kwa kila jambo, ngoja niende straight katika suala lililobeba kichwa cha habari hapo juu.
Kuna rafiki yangu ni mwajiriwa wa serikalini ametuma ujumbe kwenye group la Wasapu kuwa sabasaba kuna fursa za kupata Vitambulisho vya NIDA, NHIF, Leseni za udereva na za biashara hizi ni baadhi tuu ya huduma.
Ila ukiangalia kuna huduma nyingi kwenye taasisi za serikali na zile za kibinafsi huwa wanapenda kufanya huduma fulani fulani kuwa rahisi pale sabasaba,huduma ambazo zinakuwaga na protocols zenye nenda rudi katika siku za nje ya hizi za sabasaba na hata zenye muda mrefu kukamilika lakini kipindi hiki unaambiwa unapata hapo hapo.
Hivi ni nini hasa kinawezesha huduma hizo kuwa rahisi vipindi hivi na ziwe ndefu vipindi vingine?