Sabasaba ndio hii ratiba yako ikoje kumbuka leo ni free day

Sabasaba ndio hii ratiba yako ikoje kumbuka leo ni free day

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,711
Reaction score
35,644
Mi naanza kibishi hapa mtaani kwa mama Omari
20210707_085312.jpg
20210707_081849.jpg
 
Kitimoto ataibuka na dislike [emoji45] zake kama kawaida yake. Huko aliko Bado halijaamka.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] lile jamaa FALA sana halafu nahisi li MODE

Maana kuna comment yangu sehemu limefuta[emoji200][emoji200]
 
Katikati ya week sio lazima tujirushe japo nimeamka Sina makwaru lakini siwaz kampan ya walev ninayo kubwa so lazima kazi iendelee
 
Back
Top Bottom