Sabasaba siku hizi imepoteza mvuto

Hebu nielekeze wanapatikana banda gani nikawape neno la Mungu.
We nenda tafuta sehemu zenye giza, mabanda yao yapo kwenye angle zenye giza, ukishafika kwenye icho kiza utanza kuona mwanga kidogo kidogo yan utanza kuona bidhaa kwa mbali kama MAPAJA MAZURI, VITOVU VYENYE VIPINI, VIUNO VYENYE SHANGA na kabla hujapata majibu vizuri utasikia sauti nzuri zinakukaribisha apo ujue umefika.
 
Binafsi nilitamani iwe inafanyika kwenye majiji kwa kupokezana;
Tungeanza Dar, Mwanza na Arusha baadae tuongeze Dodoma na Mbeya
 
Huwa naenda Maonyesha ya Lusaka Zambia, Uganda na Nairobi, Sabasaba sio maonyesjo ya Biashara yale
 
Unajua hata trade fair zikoje? Unafananisja votu viwili tofauti kabisa?
 
Unajua hata trade fair zikoje? Unafananisja votu viwili tofauti kabisa?
Nimetoa mfano sijafananisha kwani lengo la 77 ni nini kuonyesha bidhaa na sio kuuza bidhaa nikitaka bidhaa Ina maana watagoma kwamba hawauzi au unamaanisha nini?
 
Kawaida saba saba huwa wanuza bidhaa maonesho yakiwa yanaisha, yaani zile siku za ,wisho ndio wanauza bidhaa. Ila hivi karibuni wamegeuza maonesho kama sehemu ya kuuza mabeseni.
 
Nikweli, na sehemu ikishakua na pombe basi ujue ndugu zake na pombe lazima wajumuike yani uzinzi, bangi, ugomvi, wizi n.k inshort haina mvuto tena kama zamani na sio salama kwenda na familia
Oh bangi tena
 
Pale nimefika ila most of mabanda na waoneshaji nadhan wana kosa elimu na uzoefu wa matamasha. Ni wajibu wa tan trade kutoa elimu. Ukifika kwenye mabanda wanakuwah ununue vitu sasa nawashangaa badala mtu akia approach sehem yako uwe making kwanza kujua mdau aliyefika hapa may be anaweza kuwa potential buyer ukaji introduce upo pale unatokea wap,mnafanya nini,kama ni bidhaa mnazalisha kwankiwango gani,mnaweza kusupply vipi badala yake anakutajia bei na anataka ununue,sasa unakuta mim sijaenda kununua nitajaza mamizigo si yatanishinda kubeba sasa,nimefika pale nataka kupata elimu kwa wazalishaji bidhaa,wao wanauza rejareja.ukaichana na mabanda ya serikal ambao wao wanakueleza kaz zao hawa wengine they lack introductory techniques
 
Maonesho haya zamani ilikuwa ni promotion za kufa mtu...yaani unaenda una saula unavyotaka...

Ila siku hizi Bei ya sabasaba...bora uende dukani tu.

Kiingilio kilikuwa affordable kwa kila mtu.

Sabasaba ilikuwa mtoko.
Wazaramo lazima twende na wakati tuelewe tofauti ya matamasha na maonesho ya kibishara.
Sabasaba ni sehemu ya kujua bidhaa ipi iko soko lipi na si kwenda kutafuta wanwake na kula mishikaki, vyakula ni kwaajili ya watumishi wa kule ndani .

Miaka mingi iliyopita niliwacha kwenda sabasaaba nilipokuta pamejaa wauza pombe na vyakula kuliko wafanya maonesho.
 
Maonesho haya zamani ilikuwa ni promotion za kufa mtu...yaani unaenda una saula unavyotaka...

Ila siku hizi Bei ya sabasaba...bora uende dukani tu.

Kiingilio kilikuwa affordable kwa kila mtu.

Sabasaba ilikuwa mtoko.
Kwanza SabaSaba gani inaangukia Jumapili, hata hainogi.
 
Zamani tukienda sabasaba nikiwa na wanangu,sisi banda letu lilikuwa la TBL tu,ukiagiza bia 1 unapewa 2.....ukiagiza ya 2 unapewa 2 ilikuwa promoshen moja kabambe....
tukitoka hapo tuko full tank yaani
😄

Ova
 
Siyo maonyesho ni soko la kuchuuza biashara, tena pale ilipaswa kisiuzwe kitu chehcote, hata hao cokacola wazionyeshe soda zao anayetaka akanywe nje ya sabasaba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…