Sabaya amemaliza lini kifungo cha miaka 30 jela?

Sabaya amemaliza lini kifungo cha miaka 30 jela?

kipumbwi

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2015
Posts
3,162
Reaction score
9,073
Wakuu salamu,ama baada ya salamu naomba kuelekea kwenye swali ama hoja.

Tumeona leo Sabaya akiachiwa huru na kurejea nyumbani baada ya taarifa za kukili kosa na kupewa kifungo cha nje kwenye kesi 7 za uhujumu alizokua amefunguliwa hapo Moshi.

Kabla ya yote wote tujikumbushe kua Sabaya alishahukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kesi ya unyang'anyi na matumizi ya silaha,akiwa sambamba na walinzi wake watatu,je ukumu ile ambayo alikua anaitumikia gerezani pale Kisongo,nani kaitengua?

Mfungwa aliehukumiwa miaka 30 gerezani,imekuaje anatoka mchana kweupe na kuachiwa huru kama shujaa kwenye kesi tofauti kabisa na ya kifungo aanachotumikia?

Rais Samia hii kesi ya Sabaya moja ya hukumu ya hovyo sana na itakuchakuchafua sana mbele ya wapenda haki. Kesi za Sabaya ni tofauti kabisa na kesi za kina Mbowe, Lema, Lissu na wenzao maana zile wazi walibambikwa lakini pia zilikua hazijatolewa hukumu.

Sabaya alimaliza lini kifungo cha miaka 30 hadi leo arudi uraiani?

 
Hiyo hukumu ya miaka 30 jela aliikatia rufaa mahakama kuu na akashinda ila aliendelea kuwa ndani kwa sababu ya kesi iliyofikia tamati leo, mahakama kuu ilishamuachia huru kwenye kutoka hicho kifungo cha miaka 30
 
Hukumu ya Kangaroo courts za CCM?
Usiichukulie serious.
 
Screenshot_20230405-220417.png
 
Back
Top Bottom