Sabaya hali tete Mahakamani, Mashahidi 10 kumkaanga

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii ndio taarifa mpya kwa sasa

instagram.jpg
 
Huyu jamaa naamini akihukumiwa kifungo bado kuna adhabu nyingine za vifungo zitaendelea kumfuata huko gerezani, maana haya mashtaka mapya dhidi yake hayawezi kumuacha salama, na wale wajinga wanaomtetea wajiandae kumsaidia kutumikia sehemu ya hivyo vifungo kama wanampenda sana.
 
Mkuu hili jamaa linatoboa vizuri tu.
Mda utaongea.
 
Hii ndio taarifa mpya kwa sasa

View attachment 1859109
Acheni kupoteza muda Wenu fanyeni Kazi za Kuendeleza Familia zenu Kimaendeleo huyu Ole Sabaya hatofungwa na Kesi zote atazipangua ila mtazugwa kwa Yeye kuwa huko Rumande mpaka pale Tukio Kubwa na Baya litakapoandaliwa 'Kimkakati' na Wananchi wengi kuhangaika nalo Kulijadili kwa Mihemko na Kudemka kisha Yeye anaachiwa Huru.
 
Kweli kabisa haya maccm mashenzi yanatucheza shere tu
 
Jiwe alitakiwa tumpike nyama tumle
Hata kama nyama ni nyama lakini yule nyama yake isingeliwa hata na fisi!
Kweli kabisa haya maccm mashenzi yanatucheza shere tu
Wamsai, Wameru na Wachaga kimila wameungana kwenye hiyo kesi.
Udhalilishaji alofanya ni kufuru!
Akitoboa mahakama za ccm; mtaani atatoboka tu!!
 
Back
Top Bottom