Sabaya hali tete Mahakamani, Mashahidi 10 kumkaanga

Mjinga gani aandae tukio kubwa kwa ajili ya mtu duni kama Sabaya ? wadanganye wajinga
 
joined july 3 2021
 
Mjinga gani aandae tukio kubwa kwa ajili ya mtu duni kama Sabaya ? wadanganye wajinga
Ni kweli Sabaya hana umuhimu huo katika chama wala Serikali kiasi cha kuandaliwa tukio la kumuachia huru. Huyu ni jambazi tu na kwa kibri kubwa akiamini kuwa aliyemtuma ataishi milele aliacha alama nyingi sana katika matukio yake. Ukikubali kutumika kiboya ujue mambo yakiharibika huo ni mzigo wako mwenyewe.
 
Umeandika ukiwa umekalia nini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…