Sabaya kaenda jela watu wanashangilia, Mbowe yupo Mahabusu Taifa linavurugika. Tusubiri TCD ya michongo itumike kufuta mchongo

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2018
Posts
539
Reaction score
3,507
Kila Kona kila kijiwe kauli mbiu ni Mbowe Mbowe Mbowe. Huyu mwamba amejua kuwatingisha. Yupo jela huku nje watu wanalipwa wakamshawishi atoke jela. Yaani unawekwa jela then qaliokuweka jela wanatafuta watu wakukutoa jela? Ishi na watu vizuri wakusaidie unapokwama.

Kila Kona anajadioiwa Mbowe, Kanisani Mbowe, Msikitini Mbowe, sokoni Mboni na hata Mahabusu wajuba Wapo happy wanamtukuza Mbowe. Wekeza Kwa watu.

Tusubiri tuone walionunuliwa kuwasafisha waliomweka ndani watafika wapi baada nchi kumeguka kigikra. Mahabusu wanasema kesi ya michongo jaji anamind lakini ndo ishakuwa michongo,
 
Uko sahihi.Wekeza kwa watu na kudai haki pamoja na kunyanyaswa.
 
Dunia hii ngumu Sana.
Tanzania haiishi sayari ya peke yake.
Maana ingekua kisiwa bado ingefata Sheria za Dunia.
Kumfunga Mbowe ni ngumu kuliko watu wanavyofikiria.
Kumfunga Mbowe ni kukubali kupoteza baadhi ya vitu muhimu Sana tunavyovihitaji.
Marekani inajua majina na idadi ya magaidi wote na walipojificha hapa Duniani,lakini haikubali kabisa kama Mbowe ni gaidi.
Ikiwa Vatican USA,UK,German,Italy,France,Canada,Sweden,Norway, Denmark,Finland, Holland,Spain, Portuguese,Switzerland,Ireland,India,Japan,Israel n.k hawakubali kuwa Mwamba ni gaidi hata mkimfunga mwamfunga bure tu.
 
Kila Kona kila kijiwe kauli mbiu ni Mbowe Mbowe Mbowe. Huyu mwamba amejua kuwatingisha. Yupo jela huku nje watu wanalipwa wakamshawishi atoke jela. Yaani unawekwa jela then qaliokuweka jela wanatafuta watu wakukutoa jela? Ishi na watu vizuri wakusaidie unapokwama.

Kila Kona anajadioiwa Mbowe, Kanisani Mbowe, Msikitini Mbowe, sokoni Mboni na hata Mahabusu wajuba Wapo happy wanamtukuza Mbowe. Wekeza Kwa watu.

Tusubiri tuone walionunuliwa kuwasafisha waliomweka ndani watafika wapi baada nchi kumeguka kigikra. Mahabusu wanasema kesi ya michongo jaji anamind lakini ndo ishakuwa michongo,
Mbowe ni shujaa
 
Back
Top Bottom