Sabaya kapprove kwamba takribani 50% ya wabunge wa CCM hawakushinda na wenyewe wanajua hilo. Walitangazwa kwa ubabe na hila

Awamu ile ushamba ulikubuhu sana hata mbinu zilikua za kishamba tu .

Watu waliweka kura kwenye hotpot ikawa mara ya kwanza tangu kuasisiwa kwa nchi ya Tanzania.

Mitandao ikawekwa kapuni siku 6 tukafanana na nchi zilizokubuhu kwa udikteta zilizokuwa zikifanya tangu awali na watanzania walikua wakisikia ndipo walionja machungu
 
Ameen
 
Nikikumbuka yule Mama aliyekatwa sikio Kule Vunjo NCCR sina hamu kabisa na Jiwe magufuli. He was A Satanic Agent
 
Nilikuwa msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Musoma mjini !!Ukweli CCM haikushinda.Mkurugenzi Mungu anakuona.
Dar Yote Upinzani walishinda. Huko.Mbeya na Iringa ndio usiseme. Mbozi na Arusha kilimanjaro. Kimsingi Hata Magufuli under S.T.P asingeshinda Jabali TAL
 
Bila katiba mpya hayo yote yanaweza kujirudia wakati wowote.
 
Kwa mujibu wa rekodi za ndani sio 50% ni 70 mkuu
 
Kati ya watu dhalimu msimamizi wa tume, eti baada ya uchunguzi wakaalika wadau kufanya tathimini, wakawa wanatoa changamoto zisizokuwepo kabisa! Hii ya kutangaza wasioshinda haikuwepo!
 
Mie nawacheki waunga juhudi saivi Kiama Chao kinakaribia. 2022/2023/2024 unavifuata mtu atajifunza umalaya sio mzuri. Unaniacha mme wako kisa umepewa karanga za kuonjeshwa jamani ama umehongwa hela Fulani jamani
Tatizo tume!
 
Hapa tena Sabaya angefaa kuwa shahidi wa kesi za uchaguzi kama zingefunguliwa na upinzani hasa Chadema.
 
Makonda unamsingizia hakuwa kiongozi wakati wa uchaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…