Na siku Mbowe akila mvua uje ushangilie hivyohivyo
Kwa kweli itabidi kuwe fair...Mbowe naye akila 30 watu wawe watulivu.....Na siku Mbowe akila mvua uje ushangilie hivyohivyo
Kwa kosa lipi! Lile la kitoto la ugaidi hewa wa laki 6!! Kuwa serious basi hata kidogo tu.Na siku Mbowe akila mvua uje ushangilie hivyohivyo
Hata wewe sikumoja utakula mvuaNa siku Mbowe akila mvua uje ushangilie hivyohivyo
Kwa kweli itabidi kuwe fair...Mbowe naye akila 30 watu wawe watulivu.....
Kama Yesu alifungwa kwa kuonewa,Mbowe nani?Na siku Mbowe akila mvua uje ushangilie hivyohivyo
Kama Yesu alifungwa kwa kuonewa,Mbowe nani?
Sio kila anayeshangilia kufungwa kwa Sabaya ni CHADEMA Mateso na Uonevu wa Sabaya kila mwenye HOFU ya MUNGU Lazima ASHANGILIE ni SHETANI TU kama WEWE ndio unaumia Nakipongeza Chama langu CCM kwa kumfunga Mhuni SabayaNa siku Mbowe akila mvua uje ushangilie hivyohivyo
Sabaya hajaonewa hata kipofu anajua hilo,kwa kesi ya Mbowe kuna uonevu mkubwa sana unaohusu siasa baina ya ccm na Chadema.Kosa la Mbowe ni kuwa na msimamo thabiti ambao unawafanya ccm wasijiamini,hivyo kutumia nguvu ya dola ili kumwangamiza Mbowe kisiasa.Ndivyo maana hata leo miaka 2000 baadaye unasema alionewa.
Swali la msingi, Sabaya kaonewa?
Sabaya hajaonewa hata kipofu anajua hilo,kwa kesi ya Mbowe kuna uonevu mkubwa sana unaohusu siasa baina ya ccm na Chadema.Kosa la Mbowe ni kuwa na msimamo thabiti ambao unawafanya ccm wasijiamini,hivyo kutumia nguvu ya dola ili kumwangamiza Mbowe kisiasa.
SABAYA ndio Kaka Jambazi mkuuHaya si maneno yangu:
"Nabii hakubaliki kwao."
Nini kulikuwa kigeni kwake aliyekuwa Mh. Sabaya? Je hakuonywa? Au alitegemea manabii waje na mbawa zao kama malaika straight toka kwa Mola?
View attachment 1975426
Ikumbukwe mheshimiwa Lema aliwahi toa maonyo si kwa ndugu huyu pekee, na kweli yakatokea.
View attachment 1975574
Ama kweli majuto ni mjukuu.