Sabaya under probe for seven other claims

wale mataga waliokuwa wanatetea kila ujinga na uonevu unaofanywa na watu wa chama chao mbona siwaoni wakiisema ofisi ya mashtaka?
 
Huyu sabaya ilikuwa tu siku yake ifike tu
Ila kwa waliyobahatika kukutana naye
Ule ushamba na ubabe wake wa kijinga waliuwona

Ova
Huwa inanishangaza sana mtu aliyetokea familia yenye unafuu then anakuwa mshamba kama Sabaya. At least hizo tabia akifanya maskini aliyekulia maisha ya dhiki na kupata ukubwani kama Bashite unaweza justify ni ulimbukeni unamsumbua.
 
Kuna Yule jamaa wakatanta , lazima yuko mikononi mwa TAKUKURU. Tokea Sabaya akamatwe sijamwona humu. Ni mkatili haswa. Kabla Sabaya hajakamatwa, alitukana sana humu akijitetea. Sasa naona kimya.
 
Acha unafiki

Unajua sana kwanini watu walishindwa kulalamika kipindi kile
 
Wamemchukua kumpeleka wapi!?
Wamempania kweli...
sijui akipangua kesi zote jamaa watahama nchi!!?
Umemmiss bwanako Sabaya,

Mkuu kwa mujibu wa mtu wa karibu sana, Ushaidi ambao umekusanywa juu yake Sabaya upo wazi mnoooo,, Sabaya alikuwa kila,za ,wakati anafanya uho ujambazi alisahau kujitaidi asiache alama yoyote itakayomletea tabu baadae, usichokijua Hadi izo pesa milioni 25 ziliingizwa kwenye account yake Sabaya siku iyoiyo,

Jamaa alikuwa bonge la pimbi ,
Nawaonea huruma nyie vimada wake,na michezo michafu aliyowazoesha sijui mtamtafuta nani awakune iyo miwasho
 
Siasa tu hapa gamna kitu, hata akituumiwa kwa makosa 1000 ni siasa tu. Wenye akili timamu wananielewa.

Hata kama alikosea ila sio kwa makosa yote, na sidhani kama ni yeye mwenyewe

Hiyo ndo siasa. Nalo litapita.
Pole dada,nawaonea huruma Sabaya amewaharibu kwa kupenda kula tope, mna kazi ya kutafuta mkunaji mpya


Sabaya izo kesi zimemkalia vibaya,,Wala sio za kisiasa Kama mnavyojipa matumaini
 
Sio kwamba anambinua mama yako na ww pia kwa wakati mmoja....
 
Amebaki mke wa Etwege hapo juu
Kumbe Etwege na Elitwege ni mtu na mkewe! Yaani hii dunia haiishi vituko. Hata hivyo hiyo ni habari njema, akinaswa moja ukoo wote wote kwisha habari yake!

Kweli ndege wafananao huruka pamoja, sijui watazaa/wamezaa watoto wa aina gani hao. Huu utakuwa ukoo wa laana na unaweza kuweka rekodi Guinness Book!
 
Unaweza kuta mmoja wa mtoto wao ni baunsa wa Sabaya, ndiyo maana wanahaha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…