Katika pitapita zangu Leo mashambani nimekutana na mkulima moja akitumia sabuni ya Unga Kama dawa yakuuhuwa wadudu kwenye maindi anasema ni sumu Nzuri ya kuuhuwa wadudu kwa anaye fahamu zaidi je nikweli Katika ili?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.