Sabina ya Unga kutumika kuwa wadudu kwenye mahindi

Watu pori

Senior Member
Joined
Jan 15, 2017
Posts
100
Reaction score
39
Katika pitapita zangu Leo mashambani nimekutana na mkulima moja akitumia sabuni ya Unga Kama dawa yakuuhuwa wadudu kwenye maindi anasema ni sumu Nzuri ya kuuhuwa wadudu kwa anaye fahamu zaidi je nikweli Katika ili?
 
Maeneo Gani Wanakotumia Sabuni Ya Unga Wakati Waziri Wa Kilimo Yupo Mtwara Kwenye Korosho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…