SABMILLER na Kiwanda cha VILEO Mbeya au Iringa: Lini watajenga?!

Steve Dii

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2007
Posts
6,402
Reaction score
1,273
Naona market ya vinywaji vya vileo inazidi kushamiri. Kiwanda kingine cha wawekezaji kutoka moja ya kampuni kubwa za vinywaji duniani, Sabmiller kujengwa Mbeya au Iringa. Safari hii wataweza hata kutoa ULANZI, GONGO na WANZUKI kwenye makopo!!! Tunakisubiria kwa hamu tukitegemea ajira tele kwa upande wa nyanda za kusini.




Hii ilikuwa moja kwenye strategies zao huko nyuma za ku-capitalize kwenye markets za Africa:
 
Nasikia TBL wanazindua kiwanda chao pale mbeya october mwaka huu
 
Naona market ya vinywaji vya vileo inazidi kushamiri. Kiwanda kingine cha wawekezaji kutoka moja ya kampuni kubwa za vinywaji duniani, Sabmiller kujengwa Mbeya au Iringa.

Kiwanda kikubwa cha bia tayari kimeshaanza kujengwa Mbeya mkuu....! TBL wanawekeza like Tshs 55bil.....!

Pia wameshaanza kuajiri wafanyakazi wengie sana....so impact yake kwenye uchumi wa Nyanda za juu kusini itakuwa very significant!
 
Nasikia TBL wanazindua kiwanda chao pale mbeya october mwaka huu

Njowepo,
Hiyo si tetesi bali taarifa ya ukweli na uhakika. Ujenzi unaendelea vizuri natumaini mchango wa bia katika pato la taifa utakuongezeka mara dufu. Nashauri kuanzia sasa mtu yeyote akikutana na mlevi anayumba yumba amshukuru kwa kazi nzito anayoifanya kuchangia pato la taifa.

Msisahau kuhudhuria maonyesho ya Kimataifa ya asali Karimjee, Oct 2009

 

mtambo unawekwa kwa mwakipesile pale mbeya na tayari ujenzi umepamba moto, NOREMCO wako mzigoni wakiwa ndo main contractor. kati ya october na november akina ndaga wataanza kunywa maji ya nyumbani kwao wenyewe.
 
kwanini viwand vya bia, sigara, etc vinaendelea na kuvuma sana, why viwanda vya vitu vingine muhimu havivumi au havipo kabisa? SABMILLER inaitambua TZ kwa namna wanavyopata faida hapa. Imagine wanajenga four brand new mitambo from Germany, uliza mtambo mmoja ni bei gani!! more than 10bil tshs!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…