sabodo na misaada

Chuck j

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2011
Posts
2,366
Reaction score
828
nilisikia katika kipindi cha magazeti juzi,,mhs sabodo akinukuliwa kusema wenye shuida ya pesa weaende kwake,,je nikweli na anatoaje ?masharti
 
Hiyo habari utakuwa hujaisikia vizuri.
Watu wanapiga mahesabu ya jinsi ya kuwa na close grip to power, hakuna msaada hapo!
 
Huu ni msaada wea kuchimba visima, na ni maalum kwa taasis za kijamii kwani anatoa kwa wananchi kupiti taasisi hizo na si kaw mtu m1m1 kama ulivonukuu vibaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…