edgar william clemence
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 233
- 218
Karibu sanaNitawatafuta kesho
Hailiplaki mbili kamili hamchukui wakuu...!!!
mwisho ngapi sasa tufanye biashara kabisa nikija ni kutoa pesa tu..!!!Hailip
NdioHizi nazo ni sabufa?
SinaChumba kimoja spika zote hizo za nn jmn? Hamna ndogo yake ya 70k?
Hometheater ndo zna watts boss, sabufa znahesabiwa kwa channels hiyo ni 5.1 ndo kubwa kwa sabufaWatts ngapi mkuu..?
Njoo uibebe na usafir wako kwa 240,000 unapata flash na 230,000 bila flash. Piga simu kwa maelezo zaidimwisho ngapi sasa tufanye biashara kabisa nikija ni kutoa pesa tu..!!!
ngoja nichukue namba nije huko huko nione maajabu...!!!Njoo uibebe na usafir wako kwa 240,000 unapata flash na 230,000 bila flash. Piga simu kwa maelezo zaidi
Me niko shinyanga napataje boss