Sabuni inayofua yenyewe (G1)

Sabuni inayofua yenyewe (G1)

Happiness1

Member
Joined
Dec 12, 2018
Posts
49
Reaction score
26
Weka order yako chap, sio siku nzima unashinda kufanya usafi ndani (super ten inakurahisishia kusafidha nyumba), jamani masofa na ma kapet sio unakaa na sofa au kapeti linejaa vumbi, madoa ya vyakula au yamegina tuna sabuni spesho kwa makapet, masofa na viti.

Kufua sio siku nzima wewe ni kufua yaani unatenga siku kabisa ya kufu sio unaamka na michubuko kisa kusugua pazia au unakata na pazia miezi bila kufua kisa mazito basi ukitaka kufua unawazaaaa Sasa Kuna suluhisho la mapazia yako, neti, mashuka, na nguo aina zote.... Wewe usiyependa kufua hii sabuni inakufaa sana yaani hupotezi muda waka huchoki ni kuloweka kuusuuza na kuanika.

(Tuna sabuni spesho ya kufua hii ni zaidi ya washing machine) unaloweka
nguo zako usiku au mapazia yako asubuhi wewe ni kusuuza tu na kuanika hii inafua nguo yenyewe ijaribu uone majaabu yake), Utakuja kushukuru, wale wa suti hsmtaki ziende dry cleaner njoo inbox muweke order ni 1000 tu delivery kuanzia vitano na kuendelea......

Mikoan tunatuma na delivery ipo kwa gharama za mteja

G1 Laundry faida zake:
1. Hufua nguo yenyewe
2. Huokoa muda
3. Hung'arisha nguo
4. Haiharibu nguo
5. Haichagui maji
6. Haiunguzi
mikono
7. Haipaushi nguo
8. Hii sabuni ni rafiki wa mazingira

Hii sabuni ya G1 Laundry inapatikana kwa sh. 1000nkipimo kidogo ¼Kg sh. 17,000, ½Kg 30,000 Kg1 55,000 na 2Kg 100,000/=

Wasiliana nasi
WhatsApp / piga
0767 379 911
IMG-20220618-WA0006.jpg
 
0767 379 911View attachment 2361978
Daah
Hizo bei hebu weka bila tozo
 
Ukimtafuta mmama mtaani unanunua sabani ya 1500 ya unga na kipande cha 800. Yeye unampa 5k ila unampa na tip ya 1k anakushukuru sana.

Nawe unakuwa umetoa ajira.
 
Back
Top Bottom