Nipm sabuni nzuuuuuuri ipoKutokan na soko huria
kumekuwa na sabuni nyingi za kuogea. je, ipi inafaa kwa afya ya ngozi na
mwili kwa ujumla?
Njoo Oriflame tukupe sabuni nzuri zinazotokana na mimea asilia..hazina madhara kiafya!piga 0655868643 ukihitaji
Jamaa ndiyo sabuni nzuri haina harufu wala madhara kwenye ngozi hasa kama una allerge ya harufu.ndo maana nawaogeshea wanangu na haijawadhuru tangu wanazaliwa.
Unajua sabun hizi ambazo ni medicated wataalam wanatukataza kuzitumia haswa wanawake kuoshea sehemu zile..
umesema oriflame nkakumbuka mbali sana ama sio zile bidhaa kutoka sweden dizain na alovera?
nahitaji kuosha rungu, utanipa? sabuniNjoo Oriflame tukupe sabuni nzuri zinazotokana na mimea asilia..hazina madhara kiafya!piga 0655868643 ukihitaji
nahitaji kuosha rungu, utanipa? sabuni
we si unayo sabuni, nataka kuja unioshe rugu. asante kwa kunikaribisha. nitakupm. thanks so very much kwa ukarimu wako, nilikuwa na uhitaji mno.Kuosha rungu??sijaelewa..ila karibu sana