sabuni na ngozi zetu

sabuni na ngozi zetu

Kundasenyi

Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
58
Reaction score
2
Salaam wapendwa naomba tujuzane ni sabuni gani nzuri inayo safisha ngozi ya mwili vizuri na kutoa uchafu wote unaojificha kwenye vitundu vya ngozi, naamin kwa kufanya hivi tutasaidiana wengi naomba kuwakilisha
 
Bwana Yesu upo wapi, mpenzi wangu rafiki!! njia gani umekwenda nitakuonaje mimi, moyo wangu wajutishwa ..........

nimeamua kuimba tenzi za rohoni sasa!!
 
nami unipe sabuni utayoipata
 
Salaam wapendwa naomba tujuzane ni sabuni gani nzuri inayo safisha ngozi ya mwili vizuri na kutoa uchafu wote unaojificha kwenye vitundu vya ngozi, naamin kwa kufanya hivi tutasaidiana wengi naomba kuwakilisha
Kwa taarifa yako sabuni hazitofautiani sana na hamna haja ya kutumia hela nyingi hata hizi za 200/- zinafanya kazi nzuri.Unapooga ni muhimu baada ya kujipaka sabuni mwili mzima utumie dodoki au kitaulo kidoko kujisugua ndio nja pekee ya kusafisha ngozi vizuri na kuondokana na harufu/ngozi iliyokufa/chunusi. Ni muhimu pia kujipaka mafuta kidogo mwili mzima baada ya kujikausha hili linahusu pia wanaume kwa afya nzuri ya ngozi.
 
thnx kwa ushauri wako
 
Back
Top Bottom