Sabuni ya maji na disinfectant vinauzwa

Sabuni ya maji na disinfectant vinauzwa

sweetdada

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2011
Posts
517
Reaction score
169
WanaJF,
Sabuni ya maji na disinfectant zinapatikana kwa bei nafuuu
lita 5 -tsh 6000 na lita 1 - tsh 1500

zimetengenezwa kwa utaalamu wa hali ya juu (local made)
sabuni ina mapovu ya kutosha na ni multipurpose,unaweza kutumia kwa kuosha vyombo,kudeki,kufua,kusafisha bafu n.k

kwa maelezo zaidi piga simu namba 0754 318 888

Asanteni
 
ndugu yangu natamani sana kukutana na m2 mwenye utahalamu wa kutengeneza sabuni, Je uko wapi?
 
ndugu yangu natamani sana kukutana na m2 mwenye utahalamu wa kutengeneza sabuni, Je uko wapi?

napatikana Dar es salaam,Kurasini..niPM nikupe maelekezo au uniachie namba yako nikutafute tunaweza kukufwata popote ulipo kwa mauzo au mafunzo kama yakihitajika
 
nafurai kuona inatengenezwa tanzania na kwa hilo nitachangia kununua
 
Back
Top Bottom