Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simple,
Loweka kwenye maji Mbunju au Mshindi itageuka kua Sabuni ya Maji!!
Ndugu zangu wajasiriamali na wa JF nipo maeneo ambayo hizi sabuni za maji hakuna sasa na mimi siwezi kuzitengeneza kama kuna mtu mwenye ujuzi huo anisaidie namba zangu ni 0787027214 au tuelekezane hapa kwenye mtandao wetu.
akhsanteni