Sabuni Za Jumla

Sabuni Za Jumla

Senior Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2011
Posts
3,405
Reaction score
3,689
Habari zenu wakuu, well nlikua naomba kuuliza ni wapi jijini dar es salaam ntapata watu wanaouza sabuni za jumla za aina mbali mbali both local or imports kwa matumizi ya usafi. Nlikua nataka kununua stock kubwa kwa siku za mbele kwa matumizi binafsi ya nyumbani na kwenye biashara zangu. Mwenye kujua tafadhali ani pm au aweke na contacts hapa na kwa faida ya wengine. Barikiwa !!!
 
ndugu weka huwo wingi nikuunganishe kiwandani ,kuna jamaa yangu anakiwanda cha sabuni za miche
 
ndugu weka huwo wingi nikuunganishe kiwandani ,kuna jamaa yangu anakiwanda cha sabuni za miche
Not less than 50 cartons...Alaf mara nyingi ntakua nananua mara kwa mara. Huyo jamaa yako yuko pande zp na quotations zake zinakuwaje ?? Ni PM kama utaona inafaa.
 
Back
Top Bottom