INAUZWA Sabuni za (Kigoma/magadi/gwanji/mawingu) kwa bei nafuu

Mufti kuku The Infinity

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2019
Posts
6,053
Reaction score
10,032
Habarini wakuu,

Poleni na majukumu yenu ya kila siku

Kama kichwa kinavojieleza tunauza sabuni za magadi za Kigoma kwa bei Ndogo kabisa ya Tsh 1,000 kwa mche.i πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Karibu tukuhudumie.

 
Mkuu vp sabun znatoka kigoma au zinatengenezwa hum mjin
 
Habarini wakuu,

Poleni na majukumu yenu ya kila siku

Kama kichwa kinavojieleza tunauza sabuni za magadi za Kigoma kwa bei Ndogo kabisa ya Tsh 1,000 kwa mche.i [emoji116][emoji116][emoji116]

Karibu tukuhudumie.

Location?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…