Mhusika alitumia kwa ajili ya kuondoa makovu usoni. Ameipenda na angependa kununua zaidi sema amegundua kuwa hapo wanapouza wanalangua bei (wanauza bei kubwa mno) ukilinganisha na bei yale halisi
Kama unafahamu mahali wanapouza na bei yake usisite kutoa taarifa
Kama unafahamu mahali wanapouza na bei yake usisite kutoa taarifa