Sabuni za kuogea aina ya ALFA kwa bei ya jumla zinahitajika

Sabuni za kuogea aina ya ALFA kwa bei ya jumla zinahitajika

Lagrangian

Member
Joined
Jul 5, 2019
Posts
79
Reaction score
66
Wasalam wapendwa wa Jf.

Nahitaji sabuni za kuogea aina ya ALFA kwa bei ya jumla. Muuzaji wa jumla wa sabuni hizo alieko Dar naomba ani dm tufanye biashara. Au kama unafahamiana na muuzaji wa jumla wa sabuni hizo tafadhali niunganishe nae. Niko Moro.

Shukrani.
IMG_20201115_082947_7.jpg
 
Back
Top Bottom