Lagrangian Member Joined Jul 5, 2019 Posts 79 Reaction score 66 Nov 15, 2020 #1 Wasalam wapendwa wa Jf. Nahitaji sabuni za kuogea aina ya ALFA kwa bei ya jumla. Muuzaji wa jumla wa sabuni hizo alieko Dar naomba ani dm tufanye biashara. Au kama unafahamiana na muuzaji wa jumla wa sabuni hizo tafadhali niunganishe nae. Niko Moro. Shukrani.
Wasalam wapendwa wa Jf. Nahitaji sabuni za kuogea aina ya ALFA kwa bei ya jumla. Muuzaji wa jumla wa sabuni hizo alieko Dar naomba ani dm tufanye biashara. Au kama unafahamiana na muuzaji wa jumla wa sabuni hizo tafadhali niunganishe nae. Niko Moro. Shukrani.
Lagrangian Member Joined Jul 5, 2019 Posts 79 Reaction score 66 Nov 15, 2020 Thread starter #2 Karibuni waungwana.