Sabwoofer Bora za Alitop zinauzwa kwa bei ya kutupwa

Sabwoofer Bora za Alitop zinauzwa kwa bei ya kutupwa

Beberu

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2017
Posts
4,548
Reaction score
9,740
Wakuu, Heri ya mwisho wa week kwenu nyote

Wakuu, nina mzigo mkubwa sana wa Subwoofer hizi bora kabisa na pendwa hapa mjini,
IMG-20230811-WA0014.jpg

Mzigo huu una sifa zote zinazohitajika kwa matumizi ya kijana wa kisasa kama vile

◽Remote control
◽Bluetooth
◽USB port
◽Fm radio
◽Warranty mwaka

✅Free delivery in Dar Es laam malipo upatapo bidhaa
✅ Bei ni rafiki sana, Tsh 130,000/-, sema kwa kuwa ninyi watu wa JamiiForums ni ndugu zangu wapendwa nitawauzia kwa Tsh 125,000/-

✅ Mawasiliano, tucheki kwa simu +255764803515 au bonyeza
HAPA KUWASILIANA NASI kwa WhatsApp, tunajibu haraka

Nb. Wale wa LG, Sony and the like naomba mkumbuke kila mtu hujikuna anapofika
 
Wakuu njooni mchukue mzigo mpate kuenjoy magetoni
 
Back
Top Bottom