Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
chasa tufanyejeSACCOS nazo ni kama vyama vya ushirika ni kama Jk alivyo sema kwamba vyama vya ushirika ni mkusanyiko wa wezi. SACCOS zilikuwa zamani kwa sasa zinetekwa na Mabenki na zimekuwa ni mawakala wa mabenki
SACCOS zinakopa benki na ili warudishe mkopo wa benki ni lazima watoe riba kubwa,
Jiunge na JE Saccoss
chasa tufanyeje