Saccos iliyoimara

Tripo9

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2009
Posts
4,357
Reaction score
3,550
Jamani natafuta saccos yenye kuaminika nijiunge. Inayotoa mkopo kwa wanachama wake kw riba nafuu.
Mimi ni muajiriwa sekta binafsi.
Asanteni
 
SACCOS nazo ni kama vyama vya ushirika ni kama Jk alivyo sema kwamba vyama vya ushirika ni mkusanyiko wa wezi. SACCOS zilikuwa zamani kwa sasa zinetekwa na Mabenki na zimekuwa ni mawakala wa mabenki
SACCOS zinakopa benki na ili warudishe mkopo wa benki ni lazima watoe riba kubwa,
 
chasa tufanyeje
 
chasa tufanyeje

Kwa kweli mkuu sijui Cha kufanya, Ila SACCOS zimekuja kharibia hivi kalibuni baada tu ya kuanza kutekwa na Mabenki hsa CRDB, nyingi zisha poteza ile maana halisi,
SACCOS nzuri ni ile inyo jitegemea kwa pesa yake, yenyew na ni chache san zenye mtaji wa kutosha,

Vinginevyo mnaanzisha vikundi vya HISA, GSLA(Groups Saving and Loan association, ni vikundi vy kueka na kukopa kama ilivyo kwa VICOBA,

Mkukikutana wenye kuelewana vizuri na mkawa mnanunua hisa kwa kiwango cha juu watu huweza kukopa hadi 10,000,000 kwenye hivi vikundi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…