Samahani mkuu naomba kufahamu, hizo SACCOS ndio nini?.
Shukrani Mkubwa, nimei-google nikakutana na website hii, www.andrewbibby.com ambayo imenielezea vizuri.savings and credit cooperative organisations......
Habari wana JF,
Tuna program tunayoifanya ambayo tungependa kutembelea na kuzungumza na SACCOS juu ya changamoto wanazopambana nazo kiteknolojia.
Naomba wadau mnisaidie list ya SACCOS ambazo zimepata mafanikio (ambazo sio changa), au kwa lugha nyingine, SACCOS ambazo zinaweza tumika kama mfano kwa SACCOS nyingine.
Malengo yetu ni kutembelea SACCOS zenye wanachama 200+, ambazo ni kubwa kiwastani na kuendelea.
Next week ntajitahidi kupata list kamili kutoka viwanda na biashara. Lakini pia, ningependa kupata list hii toka kwenu wadau.
Natanguliza shukrani.
Samahani mkuu naomba kufahamu, hizo SACCOS ndio nini?.
savings and credit cooperative organisations......
Habari wana JF,
Tuna program tunayoifanya ambayo tungependa kutembelea na kuzungumza na SACCOS juu ya changamoto wanazopambana nazo kiteknolojia.
Naomba wadau mnisaidie list ya SACCOS ambazo zimepata mafanikio (ambazo sio changa), au kwa lugha nyingine, SACCOS ambazo zinaweza tumika kama mfano kwa SACCOS nyingine.
Malengo yetu ni kutembelea SACCOS zenye wanachama 200+, ambazo ni kubwa kiwastani na kuendelea.
Next week ntajitahidi kupata list kamili kutoka viwanda na biashara. Lakini pia, ningependa kupata list hii toka kwenu wadau.
Natanguliza shukrani.
Pia kwa Dar es salaam kuna ile ya walimu wa wilaya ya Kinondoni( KITE SACCOS).Kwa SACCOS zenye 200+ kwa Dsm za kutembelea ambazo mm naona zitakufaa sana na kupata changamoto zi zile zilizofungua wigo au zenye makundi mchanganyiko, mfano. URAFIKI SACCOS , TANDALE SACCOS, lakn ukitaka hata za taasisi au makazini tembelea UDSM, MUHIMBILI, TANESCO, POSTA na SIMU, NBC SACCOS pia waweza kwenda nje kdogo ya DSM kama TCCIA PWANI, Shirika la Elimu- Kibaha au MLANDIZI SACCOS.