SACP Ng'azi plate number nyeusi ni kwa ajili ya majeshi, tutawasaka watu binafsi wanaozitumia

SACP Ng'azi plate number nyeusi ni kwa ajili ya majeshi, tutawasaka watu binafsi wanaozitumia

Papaa Mobimba

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2018
Posts
882
Reaction score
3,337
Kamanda wa kikosi cha usalama barabrani SACP Ramadhan Ng'azi, amesema wanaanzisha msako kwa ajili ya watu wote wanaotumia kibao cha namba za usajili zenye rangi nyeusi(PLATE NUMBER), kwani rangi hiyo ni mahsusi kwa watu wa majeshi na sio watu binafsi.

Ameyasema hayo leo akiongea na wanahabari kuelekea maadhimisho ya wiki ya usalama barabarani yanayotarajiwa kufanjika jijini Dodoma na kufunguliwa na Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. philip Isdor Mpango.

 
Mbona nchi hii vitisho vimezidi? Au tumeshakuwa watumwa ktk nchi huru?
 
Kwani kuna makundi mangapi na rangi ya vibao vya namba.?
Njano...magari binafsi,taasisi za serikali
Nyeupe...magari ya kibiashara
Nyekundu...NGO
Kijani..ubalozi
Blue...UN agencies
Nyeusi...majeshi
 
Hapo patamu watakamatana mpaka waumbuane maana hizo namba sio rahisi mtu wa kawaida kuwa nazo ni waowao.
 
Sio rahisi mimi pangu pakavu wakizuramimba kuweka plate number nyeusi
 
Back
Top Bottom