Halafu isitoshe watu wa vijijini wengi walio karibu na mbuga njia zao pia ziko kwenye mbuga na wenyewe wanakuwa wamezoea, so siku ikiwa yako basi nyumbani hawakuoni tena.Inaelekea ni njia yake aliyozoea kupita akienda katika kutafuta riziki, naona mfuko labda kabeba unga au mchele. Bahati yake mbaya siku hiyo simba nao wanapita. Mapenzi ya mungu yametimizwa.
Mkuu Ivuga asante kwa picha hii.
Ivuga, hebu weka hiyo clip tupate picha na sauti bila mchele mchele!watalii ndio walipiga hii [picha kabla ya kuwapigia simu askari wa selous au unataka hadi clip ya tukio zima
hawatakuacha
Kifupi sijaelewa kitu hapo. Kwanza nina maswali machache
1. Simba kafa?
2. Nani alichukua picha?
3. Jamaa kafa?
3. Hii habari iko gazetini au ni picha tu?
Mwisho, mleta mada akajipange upya. Asilete vitu visivyo na kichwa wala miguu. Kuna habari za kimizaha lakini hii ni tofauti. Leta habari iliyokamilika. Najua waliotazama hi picha hawajapata majibu ya maana hata kidogo
Inasikitisha ila vifo vingine kama vya kizembe vile?huyu msela kwa nini hakuwa hata na mkuki?alijiamini vipi?anyway r.i.p
Photoshop at work, nothing else. Credit given though
Angalieni hii encounter ya mtu na simba hapa kwenye video hapa chini; kumbe simba nao wanaogopa binadamau hata kama hana silaha.