SAD News: Fina Mango avamiwa na Majambazi

SAD News: Fina Mango avamiwa na Majambazi

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,471
Reaction score
752
attachment.php


attachment.php


attachment.php


Aliyewahi kuwa mtangazaji wa Clouds FM, Fina Mango, amevamiwa na majambazi usiku wa kuamkia jana, akiwa nyumbani kwake na familia yake.majambazi hayo yapataya 8, yalivamia na kuchukua pesa taslim, pamoja na mali kadhaa ambazo Fina hakutaja ni mali gani na fedha kiasi gani pale alipoandika kupitia mtandao wa twitter. nimejaribu kumtafuta kwa ajili ya info zaidi, lakini hakuweza kupatikana baada ya kuambiwa simu yake pia ni moja kati ya vilivyobebwa na majambazi hayo. katika tukio hilo hakuna aliejeruhiwa
 

Attachments

  • Screenshot 2013-03-25 at 07.55.46.png
    Screenshot 2013-03-25 at 07.55.46.png
    123 KB · Views: 3,013
  • Screenshot 2013-03-25 at 06.50.00.png
    Screenshot 2013-03-25 at 06.50.00.png
    6.7 KB · Views: 2,361
  • Screenshot 2013-03-25 at 06.49.53.png
    Screenshot 2013-03-25 at 06.49.53.png
    8 KB · Views: 2,371
Maadada wa kibongo siku hizi dili ni kuishi na mzungu.
 
Coz ni mwandish wa habar hamkawii kusema ni cdm sasa Lwakatare yupo ndan cjui mtasema njama za nani?!! Pole sana Fina Mango
 
Anaposema TPF alimaanisha TPDF au?
Laiti kama Law Masha angekuwa ni waziri wa mambo ya ndani, hao majambazi woote wangepatikana.
 
Back
Top Bottom