SAD: Tanzania is a setback to African integration, imposes new visa requirements on several African countries!

Cicero

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2016
Posts
2,924
Reaction score
3,074
1539147472804.png

At a time when visa openness is dominating diplomatic and social media discussions, news that an African country is imposing visa requirements for another is a setback however one looks at it.
READ: Tanzania scraps visa on arrival for Nigeria, Somalia, Mali, others | Africanews
 
Acha iwe hivyo. Kuruhusu hizo nchi visa on arrival unategemea nini kiusalama wa Tanzania?
 
Kwa hizo nchi zilizotajwa hapo acha tuwakazie tu. Sio wazuri usipokua nao makini.
 
Acha iwe hivyo. Kuruhusu hizo nchi visa on arrival unategemea nini kiusalama wa Tanzania?
Nilikuwa nawaza hivyo mkuu.. Maybe the Immigration have reasons (i.e. Security) to block this.
 
Hao wengine sawa tu... Ila Somalia wange waacha kidogo... Ndugu zetu Hawa... Wakina #Bashe #Rage #City Mall CEO #AFS CEO.... Na Mimi CEO....!

Naomba kushauri hiyo sheria ya kufuta wafute na kwa warundi warwanda waganda na wakenya... Labda tuwa fikirie waganda... Zambia wale na ndugu zao wachina tuwa ache... Wa msumbiji tuwa fute na wenyewe na wamalawi...
 
Haha ujue haya mambo ni reciprocal.
Ukifuta automatically na wao wanafuta. Kwa hiyo saiv mbongo kwenda Nigeria lazima uombe visa.
Na hizo nchi ulizotaja sipati picha zote zikisema watanzania kwenda kwao lazima uombe visa. Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Zambia, Malawi...….
Wewe haya maoni yako naamini hukuyafikiria vizuri
 
Mkuu bila kushawishiwa na mtu Wala kupewa hongo au fedha... Nikiwa na akili timamu na afya njema ya ubongo... Hayo ni maoni yangu ambay Sina Shaka nayo...
 
Back
Top Bottom