Nilikuwa nawaza hivyo mkuu.. Maybe the Immigration have reasons (i.e. Security) to block this.Acha iwe hivyo. Kuruhusu hizo nchi visa on arrival unategemea nini kiusalama wa Tanzania?
Haha ujue haya mambo ni reciprocal.Hao wengine sawa tu... Ila Somalia wange waacha kidogo... Ndugu zetu Hawa... Wakina #Bashe #Rage #City Mall CEO #AFS CEO.... Na Mimi CEO....!
Naomba kushauri hiyo sheria ya kufuta wafute na kwa warundi warwanda waganda na wakenya... Labda tuwa fikirie waganda... Zambia wale na ndugu zao wachina tuwa ache... Wa msumbiji tuwa fute na wenyewe na wamalawi...
Mkuu bila kushawishiwa na mtu Wala kupewa hongo au fedha... Nikiwa na akili timamu na afya njema ya ubongo... Hayo ni maoni yangu ambay Sina Shaka nayo...Haha ujue haya mambo ni reciprocal.
Ukifuta automatically na wao wanafuta. Kwa hiyo saiv mbongo kwenda Nigeria lazima uombe visa.
Na hizo nchi ulizotaja sipati picha zote zikisema watanzania kwenda kwao lazima uombe visa. Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Zambia, Malawi...….
Wewe haya maoni yako naamini hukuyafikiria vizuri