Sad Truth: Sijivunii na mama wa mtoto wangu

🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣hii sehemu imenichekesha
 
Hapana, mshua alirusha ngumi, broh nae akarusha ngumi. So ngumi kwa ngumi zikakutana. Kwavile mshua hakuwa ametegemea ilo jambo, yeye aliumia zaidi. Kesi ilikuwa kubwa, broh akaambiwa akajitegemee maana anajiweza.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mishangazi ni mitamu nyie acheni

Ukishaanza kuila huwezi acha.

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji3577]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…