Sadala (Diamond) ka-copy tena jamani

Sadala (Diamond) ka-copy tena jamani

Robidinyo

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
4,043
Reaction score
8,686
Wadau wa mziki wanadai pale Wcb hakuna ubunifu

Diamond anasikiliza nyimbo za kinaijeria ili afanye remix

Director kenny anaangalia video za wengine ili afanye remix

Reyza anasikiliza beat za wengine ili azifanyie remix

WCB = WE COPY THE BEST


Hii ni Aibu huyu sadala analitia aibu taifa kwa style hii tuzo atazikia tu kwa radio na tv
IMG_20210629_224806_260.JPG
IMG_20210629_224827.jpg
IMG_20210629_224824.jpg
 
Wadau wa mziki wanadai pale Wcb hakuna ubunifu

Diamond anasikiliza nyimbo za kinaijeria ili afanye remix

Director kenny anaangalia video za wengine ili afanye remix

Reyza anasikiliza beat za wengine ili azifanyie remix

WCB = WE COPY THE BEST


Hii ni Aibu huyu sadala analitia aibu taifa kwa style hii tuzo atazikia tu kwa radio na tvView attachment 1834949View attachment 1834950View attachment 1834951
Team kibakuli mna shida sana, aliecopy nyimbo yake imeondolewa youtube huko ahahahaaah , kwa akili zenu Ata watu wakifanana mashati mtasema amecopy
 
Atakuwa kaona hiyo ya Burna akabadilisha kidogo. Sijui kulikua na ulazima gani kuweka hiko kipande cause hata asingeweka kichupa kingebaki kizuri tu.
 
Kwani kuna style gani nyingine ya kulala tofaut na hzo
Mkuu tuweke u timu pembeni hali ni mbaya sana kwenye fani kuhusu kuiga. Hakuna kitu naija wanaiga bongo fleva kuanzia audio hadi chupa. Kama kipo anzisha uzi. Sie kila kukicha kuiga tu mara naija mara sauzi!
 
Hakuna jipya chini ya Jua,
Tunafanya marudio tu,mfano jiangalie wewe kwenye maisha yako, je ni kitu gani kipya unachokifanya ambacho hakija wahi kufanywa na wengine?

Mimi sio shabiki wa hayo makundi mnayo bishana daily ila chuki zingine kwa wasanii hazina maana.
 
Back
Top Bottom